Diamond Platnumz, ameibuka na kusema kuwa hapendi
kusemwa na wasanii wenzie wakati kwa muda mwingi amekua akifanya mambo yake
mwenyewe bila ya mtu mwengine.................
Haya ndio maneno ya Diamond “ Kiukweli, nasikitishwa
sana jinsi baadhi ya wasanii kutwa wanavyolazimisha kunitengenezea ugomvi wa
kilazima pasipo kuwa na sababu, mara wengine wakizusha nimewatusi kwenye Media,
mara sijui Nimepost kuwakashf, yani ilimradi tu….kwanini wanamuziki wa Tanzania
nyie ndio mnaojua kuimba mie sijui “sinatatizo….Mnasema nyie ndio wenye sauti
nzuri yangu mbaya “ Sina Tatizo”….. sasa mbona tena mnanifatilia na kutokujua
kwangu….. nafikiri ni vyema mkaanza kutumia ujuzi wenu kukuza sanaa ya nchi
yetu na kuleta heshima na maendeleo nchini kuliko kupika majungu…… watu
wanataka kazi” .
0 maoni:
Post a Comment