AKON, amezindua mradi wa mazingira wa kusaidia
kusambaza umeme barani Afrika katika Makazi milioni 1, mpaka kufikia mwishoni
mwa mwaka 2014, msanii huyo ameungana na mashirika ya misaada katika kampeni
yake ya “ AKON LIGHTING AFRICA” .......
Msanii huyo akiwa na lengo la kuwasambazia Umeme wa
kutumia Jua, ameshaanza kufanya mazungumzo na baadhi ya iongozi wa barani Africa.
0 maoni:
Post a Comment