Kati ya wasanii waliojishusha zaidi huyu namba moja,
PNC, Leo kupitia mitandao ya kijamii imeweza kunasa Video na Picha
zinazomuonesha akiomba msamaa kwa kumpigia magoti Ostaz Juma,..............
Wadau na wapenzi wa muziki nchini wamechukizwa na
kitendo hichona kusema kuwa ni udharirishwaji kwa wasanii wa Tanzania na
kuonekana hawana msimamamo na kazi zao.
0 maoni:
Post a Comment