Vurugu kubwa imetokea leo asubuhi Maeneo ya
Makole,Dodoma karibu na viwanja vya Bunge kati ya wajasiriamali wa wadogo
wadogo na serikali ambapo walitinga askari wa kutuliza ghasia( FFU) wakiwa
wamejazana eneo hilo na baada ya muda mchache lilitinga gari maalumu kwa ajili
ya bomoa bomoa na kuanza kuvunja vibanda vilivyokuwepo maeneo hayo ya bunge............
Baadhi ya wajasiliamali hao walikuwa wakiilalamikia
serikali kwa kuwapatia vibali feki vya kufanya biashara maeneo hayo na mwisho
wa siku kuja kuwavunjia bila kuwapa taarifa.
Kutoka Cloudsfm.
0 maoni:
Post a Comment