MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

LADY JAY DEE KUACHIA NGOMA YAKE YA “ HISTORIA” FEB 8,.MASHABIKI 20 WA FACEBOOK, KUHUDHURIA PART HIYO,



 Lady Jay Dee kuachia rasmi video ya
Mwimbaji wa kike wa bongo flava mwenye mafanikio makubwa, Judith Wambura aka Lady Jay Dee amebreak habari njema kwa mashabiki wake wa mitandao ya kijamii ambao wanafikia 225,722 kwa upande wa Facebook na zaidi ya 66, 400 wanaomfuata kwenye Twitter, kuwa ataitoa rasmi video ya wimbo wake wa ‘Historia’, February 8 mwaka huu kupitia party maalum, na watu 20 kati yao watapata nafasi ya kuhudhuria tukio hilo.........


“Video ya Historia iko tayari na itatoka Jumamosi ya tar 8 february 2014 kwenye party maalum ya kuitambulisha, na kutoka humu facebook nitaalika watu 20 wa kuja kuiangalia kwa mara ya kwanza kabla haijaruka kwenye TV zote.. Swali litakuja na 20 wa mwanzo watakaopatia nitajumuika nao. Usicheze mbali.” Ameandika Lady Jay Dee.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment