MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

WAFANYABIASHARA WA JIJINI MWANZA WAFUNGA MADUKA, KUGOMEA MASHINE ZA TRA.


SONY DSC


Wafanyabiashara wa Mwanza nao wameungana na wenzao wa Dar es salaam, kwa kugomea mashine za TRA, na kuamua kufunga maduka yao na kusitisha huduma kwa muda usiojulikana.


Watu wengi wamekosa huduma kutoka katika maduka hayo, hali inayopelekea Uchumi wa mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla kuzorota.

Baadhi ya watu wameitaka selikari kuchukua hatua mapema juu ya swala hili eidha kuongea na wafanyabiashara au kusitisha zoezi la mashine kwanza.

SONY DSC
SONY DSC
SONY DSC
SONY DSC
SONY DSC
SONY DSC
SONY DSC
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment