
Sakata la boss wa Mtanashati Entertainment, Ostadh Juma kupost picha kwenye ukurasa wake wa Facebook ikimuonesha PNC akiwa amempigia magoti kumuomba msamaha lilizua mengi siku kadhaa zilizopita. Hivi karibuni PNC ametoa wimbo wenye hisia za tukio hilo, wimbo aliupa jina la ‘Sina Makosa’. ...
0 maoni:
Post a Comment