MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JASUSI WA ZAMANI RWANDA, JELA MIAKA 25



 
Mahakama nchini Ufaransa, imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela jasusi mkuu za zamani wa Rwanda Pascal Simbikangwa kwa kuhusika na mauaji ya kimbari mwaka 1994........


Simbikangwa alipatikana na hatia ya kuhusika na mauaji hayo na kutenda uhalifu dhidi ya binadamu.
 
Alikabiliwa na makosa ya kuchochea , kupanga na kusaidia katika juhudi za mauaji ya watutsi hasa kwa kuwapa silaha wapiganaji wa kihutu waliokuwa wanalinda vizuizi vya barabarani na kuwaua wanaume wa kabila la Tutsi, wanawake na watoto.

Simbikangwa alikanusha madai hayo.
Haijuikani kama mawakili wa Simbikangwa watakata rufaa dhidi ya uamuzi huo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment