MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

JOH MAKINI, NIKO NJIANI KUDONDOSHA COLLABO NA JAGUAR.



 Exclusive: Joh Makini kufanya wimbo mpya na Jaguar
Mwana Hip Hop, wa kundi la Weusi, Joh Makini, anatarajia kudondosha bonge la Collabo na msanii kutoka nchini Kenya, Jaguar, hayo yamesemwa na Nikki wa Pili, alipofanyiwa mahojiano na Timesfm, wakati wakiwa njiani wakitokea nchini Kenya........


“Jaguar na Joh mpaka beat imeshatengenezwa sema jamaa ana mambo yake mengi kwa hiyo hata kama kama wanataka kufanya pale lakini watakuja kuingizia sauti huku Tanzania lakini jamaa hana tatizo. Amesema Nikki wa Pili.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment