MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

MSANII WA MUZIKI NCHINI MAREKANI AZIMIA JUKWAANI. CHEKI TUKIO ZIMA HAPA.

 
Msanii wa muziki wa R&B Nchini Marekani August Alsina, alijikuta akidondoka mbele ya mashabiki wake wakati akitumbuiza jukwaani mara baada ya tukio hili alikimbizwa Hospitalini kwenye chumba cha ................
wagonjwa maututi. Taarifa kutoka kwa meneja wake zinasema kuwa msanii huyo amelazwa wodi ya wagonjwa maututi jijini New York, tukio hilo lilitokea hapo jana wakati akitumbuiza jukwaani. Pia madaktari wamesema kuwa msanii huyo hakukutwa na dawa za kulevya katika mwili wake bali kilichopelekea kuzimia ni kukosa maji kwa muda mrefu na kuchoka sana.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment