Samuel Sita, ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Bunge la
Katiba kwa kupata kura zaidi yani ni 487, kati ya 563, zilizopigwa mjengoni
humo...........
Amefunguka na kusema kuwa anataka kulifanya Bunge hilo kuwa lenye viwango na kutumia muda mchache zaidi
katika kulifanya swala hilo.
0 maoni:
Post a Comment