MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

2CHAINZ, KUFIKISHWA MAHAKANI



  2Chainz kupandishwa kizimbani kwa kesi ya dawa za kulevya
Msanii wa Muziki, Rapper 2Chainz, anatarajiwa kufikishwa mahakamani kufuatia tukio la kukutwa na Madawa ya Kulevya, chanzo cha taarifa kinaseama kuwa msanii huyo alikutwa na Codeine, ambazo utumiwa kutengenezea Sizzup, june mwaka jana.............


Mbali na dawa hizo lakini alikutwa na aina nyengine za madawa ya kulevya, kwa kesi hiyo, mtuhumiwa anaweza kutumikia kifungo cha miaka hadi mitatu[3] jela.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment