MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

3 WAPOTEZA MAISHA BAADA YA KUFUNIKWA NA KIFUSI CHA KOKOTO JIJINI DAR ES SALAAM



 6
Inasemekana watu watatu waliotambuliwa kwa majina ya Msagala,Jacob na Mhando ambao ni  wakazi wa Bunju jijini Dar es Salaam wamefariki dunia mchana wa April 04  baada ya kufukiwa na kifusi wakati wakichimba kokoto............


Watu hao walikua wakichimba kokoto hizo kwenye machimbo ya Mtanzania mwenye asili ya Kiasia aliyefahamika kwa jina la Kara Arjan machimbo yaliyopo eneo la Bunju-Mbweni Dar es salaam.

Taarifa inasema kuwa machimbo hayo yalishapigwa marufuku kutokana na watendaji wake kufanya kazi katika mazingira hatarishi ambapo wachimbaji hao wakiwa kazini,sehemu ya machimbo hayo iliporomoka na kuwafukia.

Picha za kwenye tukio ambazo zinaonyesha pia juhudi za watu wakiendelea na uokoaji pamoja na miili ya watu waliopoteza maisha.
 2
 5
kutoka kwa millardayo/global
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment