MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

APPLE, YATOA SIMU MPYA ITAKAYO KUWEZESHA KUONA VITU VYOTE VYA MBELE KUPITIA KIOO CHA SIMU YAKO, WAKATI WA KUTUMA NA KUSOMA UJUMBE



 
Kampuni ya Apple, imeamua kuwasaidia watumiaji wa bidhaa zake za simu kwa kuweka program itakayomuwezesha mtumiaji wa simu kutuma au kusoma ujumbe huku akiwa anatembea na wala hautoweza kujikwaa au kugongana na mtu. Pia unaweza kuendesha gari ukiwa unatuma au kusoma ujumbe katika simu yako..........

 
Kampuni hiyo itaongeza “patent” kwenye simu zake itakayokuwa inaonesha Live Video kwenye background ya uwanja wa kuandikia ujumbe, Kifaa hicho kitatumia kamera ya simu, ambayo itakuwezesha kuona vitu vyote vya mbele yako kupitia kio cha simu yako ya mkononi wakati ukiwa unaandika ujumbe wako.
 
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment