No Bifu, kutokana na Utata uliojitokeza katika kundi
la P-Square, kwa siku kadha hivi, sasa bifu hilo
limekwisha baida ya wasanii hao na kaka yao na
mambo yako shwari kama zamani...............
Wasanii hao waliandika kupitia Twitter kuwa kundi lao
liko shwari na hakuna utata wowote unaoendelea tena.
Jana (April 24) ilikuwa siku ya kuzaliwa ya kaka yao, Jude Okoye na yeye
alionesha nia ya kutaka kufunga pingu za maisha baada ya kumvisha pete ya
uchumba mpenzi wake lfy Umeokeke ambaye ni mwanamitindo na aliwahi kuvaa taji
la urembo unaohusu masuala ya kijamii mwaka 2012.
Na haya chini ndio yalikuwa maneno yao kupitia mtandao wa Twitter.
FOREVER PSQUARE!
PSQUARE! Stronger than Ever!!!
IG: @Judeengees
@judeengees
Follow
Family is everything indeed. Long live PSQUARE!
0 maoni:
Post a Comment