Chris Brown na Karrueche Tran, Bado wako pamoja tena
wanapendana…. Usiku wa Jana aliweza kuwa-thanks mashabiki wake kisha akatoa
ujumbe huu# "Karrueche, I Love You”................
Ilitoka taarifa ya kuwa wawili hao waliachana lakini
inadaiwa kuwa bado wapo pamoja kufuatia ujumbe ulitoka jana kwa Chris Brown.
0 maoni:
Post a Comment