MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

FEZA KESSI, ANATARAJIA KUDONDOSHA NGOMA MPYA



 Feza Kessy kuachia wimbo mpya hivi karibuni
Mmoja kati ya walioshriki katika Big Brother Africa, Fezza Kessi, anatarajia kudondosha wimbo wake mpya hivi karibuni ambao umefanywa na Nahreel, wimbo huo unakwenda kwa jina la “MY PAPA”...............


Kuna baadhi ya watu ambao tayari wamepata nafasi ya kuusikiliza wimbo huo nah ii ni tweet yake “ And Finally it is”
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment