Msanii wa Muziki wa Hip Hop na mfanyabiashara,
P-Diddy, amefunguka na kusema kuwa ataendelea kuwa shabiki wa Timu ya L.A
Clippers, ingawaje aliyekuwa Boss wa
Timu hiyo kufukuzwa...................
Msanii huyo aliandika kupitia kurasa zake za mitandao
ya Kijamii “siku zote atakuwa shabiki wa New
York Knicks lakini bado anabaki kuwa ni
mfanyabiashara na akamalizia na hashtag ya DiddyBuyTheClippers.
0 maoni:
Post a Comment