Msanii wa Sanaa za maigizo na Mwimbaji, Mrisho Mpoto,
amefunguka na kutaja sababu za kutovaa Viatu mara kwa mara “ mimi mtazamo wangu
ni kwamba Nguvu zote zinatokea kwenye udongo, pia zamani nilipokuwa naandika
nilikua navaa viatu na Tungo zangu hazikuwa nzuri lakini nilipo anza
kutembea peku mambo yakaanza kuwa mazuri”..........
Aliendelea kwa kusema kuwa yeye hakuwai kuumwa kwa
sababu ya kutembea peku, yeye anaamini kuwa tiba zote zinatokana na ardhi pia nguvu
na mashairi yake ni kutokana na imani yake tu.
0 maoni:
Post a Comment