KOCHA Mpya wa Kikosi cha Taifa Starz, Martinus
Ignatius, anatarajiwa kudondoka nchini na kuanza kazi ya Kuinoa Timu hiyo siku
ya Jumamosi alfajiri kwa ndege ya Ethiopia Airlines katika uwanja wa
Taifa wa Dar.............
Kocha huyo mwenye umri wa miaka 59, atakutana na
waandishi wa Habari siku hiyo hiyo ya Jumamosi mchana, na baada ya hapo
kutakuwa na mchezo wa kirafiki kati ya Taifa Starz na Burundi katika
uwanja wa Taifa Jijini Dar.
Martinus, alishawai kuzifundisha hizi timu kwa vipindi
tofauti, Burkina Faso U20, Kikosi cha Timu ya Taifa ya Mozambique alikuwa ndio
kocha mkuu wa timu hiyo, pia alifundisha Timu ya Santos ya Afrika kusini, bila
kusahau kocha huyo ni raia wa Uholanzi.
0 maoni:
Post a Comment