Producer mkongwe nchini Tanzania, P-Funk, amefunga ndoa na motto
mzuri Hidaya, huko mjini Arusha ............
Na hapa akafunguka kuhusu ndoa yake ““Finally I made
the big move” kasha akatupia Bonge la Picha ya ndoa yake katika mitandao ya
kijamii.
0 maoni:
Post a Comment