|
P Diddy, namba [1] ameshika namba kwa kuwa na mkwanja wa kutosha
kabisa, Revolt TV anayomiliki P Diddy ambayo imeanza kwa kasi kubwa
ndiyo biashara inayosemekana kuwa inaweza kumfanya Diddy kuwa bilionea wa
kwanza kwenye HipHop.
|
Kuna wasanii wengi wenye pesa zaidi Duniani kupitia
kazi za muziki wao, lakini hawa wanaonekana kuvunja rekodi ya kuwa na mkwanja
mnene zaidi duniani, embu tumia dakika zako chache kuwajua …………
|
Namba [2] ni ya producer na msanii Dr Dre ambaye ana
utajiri wa dola za kimarekani millioni 550.
|
|
Namba [3] inaenda kwa Jay Z utajiri wake ni dola za
kimarekani millioni 520.
|
|
Namba [4] ni ya boss wa YMCMB ‘Birdman’ utajiri wake
ni dola za kimarakani millioni 160 |
|
Namba [5] inamilikiwa na 50 Cent ambaye utajiri wake
ni dola za kimarekani millioni 140 |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 maoni:
Post a Comment