MECHI ZA LEO USIKU” Mechi za Kwanza za Nusu Fainali za
EUROPA LIGI zitachezwa na Klabu za Spain, Valencia na Sevilla, zitakutana huko
Estadio Ramon Sanchez Pizjuan Jijini na Sevlla na Nusu Fainali nyingine ni huko
Estadio da Luz, Jijini Lisbon, Ureno kati ya Benfica na Juventus...........
Marudiano ya Nusu Fainali hizi ni Mei 1.
EUROPA LIGI
Robo Fainali
Marudiano
Alhamisi Aprili 10
[Kwenye Mabano Jumla ya Mabao kwa Mechi mbili]
Juventus FC – Italy
2 Olympique Lyonnais – France 1
[Juventus Arena] [3-1]
Valencia – Spain 5 FC Basel 1893 – Switzerland 0
[Estadio Mestalla] [5-3]
Sevilla FC – Spain
4 FC Porto – Portugal
1 [Estadio Ramon Sanchez Pizjuan] [4-2]
Benfica – Portugal
2 AZ Alkmaar – Netherlands 0 [Estadio da Luz]
[3-0]
SAFARI YA TURIN
NUSU FAINALI: Mechi Aprili 24 na Mei 1
FAINALI: Jumatano Mei 14, Juventus Stadium, Turin, Italy
0 maoni:
Post a Comment