Jose Mourinho, amefunguka na kusema kuwa anataka
kuwapumzisha wachezaji wake kadhaa ili aweze kuwatumia katika mechi ijayo
ambayo itakayoaamua nani bingwa.........
Liverpool, iko mbele kwa point 5 dhidi ya Chelsea,
wakati wote wakiwa wamebakiwa na mechi 3 mkononi “Nitachezesha
Wachezaji ambao Jumatano hawatacheza na Atletico!”
Baada ya kufungwa Bao 2-1 na Sunderland Wikiendi iliyopita, Chelsea wamebakia na nafasi finyu ya Ubingwa na hata
wakiwafunga Liverpool bado watabaki nyuma yao.
0 maoni:
Post a Comment