MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TAZAMA PICHA ZA DIAMOND PLATNUMZ KATIKA SHOW YA QUEEN DARLIN ......... WATU WALIBAKI MIDOMO WAZI.



 IMG_9813
Kuna wasanii wengi sana hapa TZ, lakini Diamond ni msanii wa kipekee kabisa, kutokana na uwezo wake wa kufanya mambo makubwa kwa mashabiki wake na kuwafanya kupiga mayowe mwanzo mwisho.............

 blllo
Jana msanii huyo aliwashtusha mashabiki wake kufuatia ile show ya dada yake Queen Darlin, ya uzinduzi wa Video yake katika Club Bilicanas.
 blog0
Punde si punde mashabiki walibaki mdomo wazi na shangwe za kufa mtu mara baada ya Diamond Platnumz, kutoke kwenye jukwaa kumsapoti dada yake., picha za tukio zima ziko hapa
 BLOGHGH
 BLOGGGGN
 i
 BLOG
 BLOG4
blog8
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment