Hii ni kwamba watanzania Kumbe wanazipenda timu zao,
na kila Timu inamashabiki wake, Nani alizani kama Azam Fc, ni moja kati ya Timu
Pendwa hapa Tz... TAZAMA PICHA ZOTE HAPA.........
Inatokana na watu walivyoshindwa kuyazuiya mapenzi yao
kwa Timu hiyo na kwenda moja kwa moja katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa,
Jijini Dar es salaam, kufuatia Ubingwa waliupata dhidi ya Mbeya City Fc, na
kutangaza Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom.
0 maoni:
Post a Comment