Kutokana na kile alichofanyiwa Dani Alves, na Shabiki
ambaye kwa sasa amefungiwa maisha kutazama Timu ya Villareal kutokana na
kitendo hicho cha kumtupia ndizi Dani..........
Wachezaji wengi wamesapoti kitendo hicho kwa kupiga
picha wakiwa wanakula ndizi na kuziweka katika mitandao ya kijamii, wachezaji
hao ni pamoja na Eto’o, Neymar nk.
Lakini swala hilo la kupiga picha huku wakiwa wanakula
ndizi halikuishia tu kwa wachezaji mpira bali mpaka wasanii wa muziki, hapa
tunamkuta msanii wa nchini Naija, Davido, naye ametupia picha akiwa anakula
ndizi.
0 maoni:
Post a Comment