MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

TIMU YA WATOTO WA MITAANI [TZ] YACHUKUA KOMBE LA DUNIA BRAZIL


mtaani
Kikosi cha timu ya Taifa ya Watoto wa mitaani Tanzania, imeibuka na ushindi na kutwaa ubingwa wa Dunia baada ya kuichapa timu ya Burundi bao 3-1, huko 
Brazil katika fainali za kombe hilo la dunia..........


 Katika fainali hizo mgeni rasmi alikua waziri wa Fedha wa Uingereza, George Osborn, Tanzania iliweza kupata nafasi hiyo baada ya kuicha timu ya Marekani Bao 6-1.

Kikosi cha timu ya Tanzania kitashuka nyumbani TZ katika uwanja wa ndege Wa kimataifa wa jijini Dar es salaam,[JNIA] siku ya alhamisi.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment