Kundi la wasanii kutoka Tanga, Wagosi wa Kaya, walitoa
nafasi kw masabiki wao kutoa nafasi kwa wasanii watakao kuwa na mvuto zaidi
katika Albamu yao
mpya ili waweze kufanya nao kazi..........
Lakini mpaka sasa wanashika chati sana na waliopendekezwa na mashabiki hao ni Roma
na Juma Nature.
Na haya ndio maneno yao “ WASANII AMBAO
WAMEPENDEKEZWA SANA ILI TUFANYE NAO KAZI KATIKA NYIMBO NI PAMOJA NA JUMA
NATURE,ROMA NA WENGINEO WENGI TU........NAAMINI HATUJAWAHI KUFANYA KAZI NA
WASANII WENGI ILA KWA HESHIMA YENU MASHABIKI TUTASHIRIKIANA NA HAO MLIOWACHAGUA
NA WENGINEO TUTASHIRIKIANA NAO NA MTAWASIKIA KWENYE ALBUM YETU YA #
UAMSHO!!!!!.......HATUTAWAANGUSHA KAMWE!!!
0 maoni:
Post a Comment