Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,
azidi kutanua mbawa zake katika level za kimataifa, sasa ameingia katika Tuzo
Za BET, ................
kwenye Kipengele cha “ Best International Act: Africa” ambapo atakuwa
anachuana na Davido wa Nigeria, Mafikizolo [Afrika kusini], Sarkodie wa Ghana nk.
Tuzo hizo zitzfanyika June 29 mwaka huu nchini
Marekani, Los Angeles.
0 maoni:
Post a Comment