MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

FACEBOOK PAGE YA AZAM, YAVUNJA REKODI



 
Kupitia mtandao wa AzamFC, imefunguka na kusema kuwa page yao ya Facebook, ndio page ya kwanza katika timu za mpira kuwa na “Likes” nyingi kuliko yoyote Afrika Mashariki…..


"Azam FC Facebook Page imefikisha marafiki laki moja na kufanya page ya klabu ya soka yenye mashabiki wengi zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki,
Kama hiyo haitoshi, Status ya taarifa za usajili yenye picha ya Frank Domayo ilifikisha comments 1,000, Likes 1,800 huku watu 73,000 wakiiona na kuifanya status iliyovunja rekodi kwa page hii na pengine ikakosa mshindani hata nje ya page hii" hiki ndicho kilicho andikwa kwenye mtandao huo.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment