Ilitarajiwa kwamba Manchester City itapiga hatua, lakini kwa mabao 4 -
0 dhidi ya Aston Villa, ilikuwa kweli mavuno yaliyowarejesha watakapo -
kileleni na kuelekea ushindi wa dhahiri wa ligi ya England.........
Yaya Toure ndiye aliyegonga bao hilo la mwisho, mengine wameyafunga kina Edin
Dzeko mabao mawili na Stevan Jovetic bao moja.
Wakiwa na pointi 83 Man City wamewashinda Liverpool kwa pointi mbili na wingi wa mabao.
0 maoni:
Post a Comment