Msanii wa kizazi kipya nchini Tanzania Shaa, yuko
mbioni kuachia Video ya wimbo wake mpya wa “SUBIRA” Inadaiwa zimebaki siku kama 6 hivi ili hiyo ngoma kutoka.............
Video hiyo imesimamiwa na mkubwa na Wane, nah ii ni
kutokana na kile cha hapo mwazoni kufanyiwa poa na mkubwa na wane katika wimbo
wa Sugua Gaga, sasa ni Subira.
0 maoni:
Post a Comment