Lupita amezidi kushika chati katika vyombo vya Habari
Duniani, sasa ameingia tena kwente vichwa vya habari kwa kuwa na mausiano na
msanii wa kutoka nchini Somalia
K’nani...........
Mara ya kwanza Lupita alikuwa akihusishwa na Michael
Fassbender na Jared Leto lakini mwigizaji huyo amekita mizizi yake ya kimapenzi
kwa rapa K’naan na wanafuraha na mahusiano yao.
Wapenzi hao mara kadhaa wamekuwa wakionekana katika
maeneo mbalimbali wakiwa pamoja lakini hawakuwa wakiweka wazi nini kinaendelea
kati yao na
kufanya watu wahisi tu juu ya uhusiano wao.
Stori ni kwamba katika jarida la hivi karibuni la
Vogue ambalo Lupita ametokea kwenye ukurasa wa mbele amethibitisha kweli ana
uhusiano wa kimapenzi na K’naan na anampenda sana.
0 maoni:
Post a Comment