RICK ROSS, ATISHIWA MAISHA NA WATU 100.
Mweraamazing, ndio mpango mzimaaaaaaaaa
Boss wa MMG, Rick Ross ametishiwa maisha na watu zaidi ya 100 waliomuwekea kizuizi njiani wakati akielekea kwenye tamasha la Summer Jamz lililoandaliwa na kituo cha radio cha HOT 107.5 huko Detroit..........
Umati wa mashabiki waliokuwa wanamsubiri kwa hamu Rozay kupanda jukwaani walishitushwa na taarifa zilizotangazwa na Jay Hicks ambaye ni muongozaji wa vipindi wa kituo hicho kuwa Rick Ross amehofia maisha yake na ameshindwa kufika ingawa yuko karibu na tamasha hilo.
"via Times"
0 maoni:
Post a Comment