THE KARATE KID 2, YAPATWA NA PIGO, JE WAJUA BASI SOMA ZAIDI HAPA.
Filamu ya The Karate Kid iliyoigiwa na Jaden Smith na Jackie Chan imepata pigo baada ya muongozaji wa filamu hiyo kujitoa katika mradi huo...........
Waandaaji wa filamu hiyo wameeleza kuwa muongozaji Breck Eisner ametoka kwenye mradi wa filamu hiyo kutokana na mgongano/mgogoro wa ratiba. Filamu hiyo bado haijampata muongozaji mpya.
0 maoni:
Post a Comment