GOOGLE, WAANZISHA KIKOSI CHA KUPAMBANA NA WEZI WA MTANDAO.
Kampuni ya Google imetangaza kuwa wametengeneza timu yenye utaalamu wa hali ya juu wa kufanya utafiti na kupambana na uharamia wa kutumia mtandao.............
Kitu wanachotaka kukifanya ni kuakikisha kuwa mtandao unakuwa sehemu salama zaidi kwa watumiaji duniani.
“Hatuweki mipaka yoyote kwenye huu mradi na tutafanya kazi yak u-improve ulinzi wa software yoyote ambayo inategemewa na idadi kubwa ya watu, na kutakuwa makini zaidi kwenye mbinu na targeti za washambuliaji.” Kutoka Google .
0 maoni:
Post a Comment