Msanii wa muziki nchini Tanzania Makamua anatarajia
kudondosha ngoma mpya ft Ommy Dimpoz............
Kupitia Interview aliyofanya na moja ya kituo cha
Radio nchini, alifunguka juu ya ujio wake mpya, katika ngoma hiyo,imebaki
kipande cha Ommy D, ili kukamilisha wimbo huo.
0 maoni:
Post a Comment