MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

R.I.P MCHEKESHAJI MAARUFU NCHINI KENYA AFARIKI DUNIA.


Tanzia: Mchekeshaji maarufu wa kipindi cha Mashtaka cha Citizen TV,
Mchekeshaji/muigizaji maarufu wa kipindi cha Mashtaka kinachorushwa na Citizen TV, Nancy ‘Jastorina’ Nyambura amefariki Jumamosi (July 26)............


Kwa mujibu wa Citizen TV, Jastorina alikuwa anaumwa muda mrefu ugonjwa wa ‘Meningitis’ na alikuwa akipata matibabu katika hospitali ya Kenyatta nchini humo.

Jastorina ambaye mwaka huu alishinda tuzo ya Kalasha kama msanii bora wa Ucheshi (Comedy), ameacha watoto wawili wa kiume.

Apumzike kwa Amani. Amina!
Kutoka Timesfm
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment