MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DIAMOND PLATNUMZ, ACHUKUA TUZO ZA TTTMAwards, MY NUMBER ONE NDIO NYIMBO BORA YA EAST AFRICA.



 diamond2
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Nchini Tanzania Diamond Platnumz, anazidi kuupeleka mziki wa Bongo kwenye Level za Juu zaidi kufuatia Tuzo zake mbali mbali za ndani na nje ya nchi, pia kufanya collabo nyingi na wasanii wengi wan je ya nchi na ndani.................


Kupitia ukurasa wake wa Instagram, amefunguka na kutoa shukrani kwa mashabiki wake na wadau wote kwa kuufanya wimbo wa my number 1, rmx kuchukua Tuzo ya wimbo bora East Afrika.
 diamond3
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment