Msanii
wa Muziki nchini Tanzania Diamond Platnumz, anazidi kutanua wigo wa muziki wake
kutokana na Collabo nyingi anazozifanya na wasanii wengi wakubwa ndani ya nchi
na nje ya nchi, sasa amepata Collabo na msanii kutoka Naija, KCEE............
Diamond
alisema kuwa “Kuna Nyimbo nimefanya na KCEE, wa Limpopo, ni nyimbo yake by the
way ambayo nakwenda kuirekodi sasa hivi, haya yalikuwa maneno yake.
Aliendelea
kwa kusema kuwa mashabiki wake wakae mkao wa kula maana kabla ya mwaka kuisha
kuna bonge la zawadi anatarajia kuidondosha kwao, “ wategemee pia collabo
nyingi siyo kutoka Afrika, this time nimefanya collabo na msanii wa marekani.
0 maoni:
Post a Comment