Rapper
mkongwe na mtangazaji wa kipindi cha 106 cha BET, Bow wow, ameamua kuvunja
ukimya mara baada ya kumvisha Pete
Mchumba wake ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Reality show nchini
Marekani.................
Wadau
wanasema kuwa walili hao walianzisha mausiano yao kipindi cha miezi sita
iliyopita, chanzo kikubwa kilikuwa ni kutokana mwaliko wa mwadada huyo Eric,
kwenye kipindi cha 106 ambacho uwongozwa na Bow wow, kupitia kipindi hicho
wawili hao wali-kiss live wakati matangazo yakiendelea.
0 maoni:
Post a Comment