MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

BOW WOW AVUNJA UKIMYA, AMVISHA PETE KICHUNA WAKE



 Tokeo la picha la image of bow wow with hos girlfriendTokeo la picha la image of bow wow with hos girlfriend
Rapper mkongwe na mtangazaji wa kipindi cha 106 cha BET, Bow wow, ameamua kuvunja ukimya mara baada ya kumvisha Pete  Mchumba wake ambaye ni mtangazaji wa kipindi cha Reality show nchini Marekani.................


Wadau wanasema kuwa walili hao walianzisha mausiano yao kipindi cha miezi sita iliyopita, chanzo kikubwa kilikuwa ni kutokana mwaliko wa mwadada huyo Eric, kwenye kipindi cha 106 ambacho uwongozwa na Bow wow, kupitia kipindi hicho wawili hao wali-kiss live wakati matangazo yakiendelea.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment