MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

DIAMOND PLATNUMZ ATAJWA KUWANIA TUZO ZA MTVEMA 2014.





Msanii wa muziki nchini Tanzania Diamond Platnumz, anazidi kuitangaza Tanzania mara baada ya kutajwa tena kuwania  tuzo za MTVEMA 2014.............


Pia kundi la muziki nchini Kenya la Sauti Sol limetajwa kuwania tuzo hizo kupitia kipengele cha Best African Act, hapo awali yalitajwa majina manne tu ambayo ni Diamond platnumz, Davido, Goldfish na Toofan.
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment