
Producer
wa Ngoti Music, Ngoti Doomy Ngoti, ametangaza nafasi kwa wadada wenye vipaji
kufika katika studio yake iliyoko MANZESE Jijini Dar es salam..........
Kupitia
ukurasa wake wa Facebook, Producer huyo alifunguka na kusema “Ngoti Music baby
ina watangazia kuwa ina saka maiden sac wakike wenye kujituma bt Poh no:
0657798440 so fanya ivo kama ww upo namwenzio tuwacliane tuanze mazoezi plz
ucpuze ikibidi share kwa malfiki zako hpy day Ngoti Music baby.....!!
0 maoni:
Post a Comment