Msanii wa Muziki nchini Marekan, Nick
Minaj amepata nafasi nyingine ya kwenda kuzungumza na wanafunzi wa shule moja
huko mjini New York mara baada ya kutoswa katika shule aliyosoma wiki
iliyopita...............
Msanii huyo alizungumza na uwongozi
wa shule ya Fiorello H. LaGuardia High School ili aweze kuitembelea na
kuzungumza na wanafunzi lakini alijikuta akitoswa na mkuu wa shule hiyo,
kutokana na uongozi huo kumtosa bidada Nick Minaj, alifunguka na kusema “I
wanted to go back to my HS and speak to the students but the new principal
declined. No need for me to inspire them, I guess. Smh [shake my head]”.
Hakuishia hapo, aliendelea kwa kusema
kuwa “ that school changed my life and I wanted to pay it forward to the
students there now. I was really looking forward to it”.
Mkuu wa shule hiyo alisema kuwa
uongozi wa shule hiyo ulifutilia mbali ziara hiyo ya Nick, kwa kuwa alitaka
kwenda shuleni hapo na crew yake ya kushoot, kitu ambacho ni kinyume na sera za
mji wa New York.

0 maoni:
Post a Comment