MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

P-SQUARE WAFANYA NGOMA NA AWILO LONGOMBA, NA HII NDIO ALBAM YAO MPYA.



 
Kundi la Muziki la Nchini Nigeria, P Square, wanatarajia kudondosha Ngoma Mpya wakiwa na mkali wa Bundelele, Awilo Longomba, kupitia moja ya mtandao mmoja kundi Hilo liliandika kuwa................
“ Will let y’all knw what we are celebrating soon……just wait for it. Cos it’s a big one# P –CLASSIC”.

Ata Hivyo Kundi hilo limeshatoa Cova ya Albam yao mpya ambayo inatarajiwa kudondoshwa Hivi karibu, ndani ya Albam hiyo kuna wasanii wengi wa kimataifa ndani ya Afrika na Nje ya Afrika. na hii ndio albam ya mpya "

Bouble Trouble

Bouble Trouble

Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment