Stori kubwa katika Mitandao mikubwa Duniani ni kuvunjika kwa
Ndoa ya Amber Rose na Wiz Khalifa ni
baada ya Amber kutaja chanzo mojawapo cha kuvunjika kwa uhusiano huo...................
Kwenye interview ya Radio Amber amesema kingine
kilichomkasirisha ni kuona Wiz anawaendekeza warembo flani wawili mapacha ambao
inaaminika amekua akijihusisha nao kimapenzi.
Amber amesema alipenda kuiokoa ndoa yake ili waendelee kuwa
pamoja lakini anaeonekana kukataa kuendelea kuwa kwenye ndoa ni Wiz mwenyewe,
Amber anasema hata taarifa za mwanzoni kwamba walitengana siku nyingi kabla ya
kutaka talaka zilikua za uongo…. hakufanya maamuzi yao sababu alitaka kuiokoa
ndoa yake.
0 maoni:
Post a Comment