Leo
ni siku ya kuzaliwa kwa Rais wetu Mh- Jakaya Mrisho Kikwete na ametimiza miaka
64, Mtandao Huu wa MWERAAMAZING na wadau wake wote wanakutakia Maisha Marefu
yenye Baraka na amani................
Wananchi
mbali mbali wamejitokeza na kumpongeza Mh Rais, kwa kufika Umri huo, na
wamemuombea Baraka na amani maishani mwake.
0 maoni:
Post a Comment