MWERA AMAZING BLOG

MWERA AMAZING BLOG

INSPECTOR HAROUN, AMESHOOT VIDEO MBILI, EDITING JAPAN

 
Msanii mkongwe wa Music nchini Tanzania Inspector Haroun, amefunguka na kusema kuwa aliwapa ahadi ya kudondosha ngoma Tatu katika lakini mpaka sasa ameshashoot mbili na anatarajia kuzituma nchini Japan kwahajili ya Final Editing...............


Msanii huyo amedai kuwa anataka kufanya mambo makubwa kwenye hizo ngoma zake ili aweze kuwathibitishia mashabiki wake kuwa ata wakongwe wanaweza na bado wapo.
" kwa sababu watu wansema  kuwa wakongwe sisi hatufanyi video za Gharama, lakini mimi niseme sio kweli kwamba hatutaki kufanya hivyo kwasababu muziki  huku unakoendelea ni lazima tufanye hivyo, .....kutoka Bongo5
Share on Google Plus

About MWERA AMAZING

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 maoni:

Post a Comment